Harmonize aachia video ya ngoma mpya inayoitwa 'Atarudi'

Now days maproducer hawana ubunifu kabisaaaaa

Hii nyimbo ya tatu sasa ila beat ni ile ile ( Love portion ya mafikizolo, Darling ya Butera Knowlence ft Benpol na hii ya Harmo)

Imekua ni mwendo wa kubadili mistari tuuuu....ila all in all mistari ya huu wumbo na ujumbe ni mzuri pia
 
Watu wana chuki za kijinga humu, mbona beat hazifanani na hao mafikizolo, tujifunze kusupport wasanii wetu.
 
Acha uwongo, beat hazifanani, unaleta uzushi usio na maana pumbavu..
 
Siasa unataka jiwe atupige kakojoe ukalale kwani umelazimshwa eeebooooooo.
Huu ni utoto na majibu ya kikubalehe tu!

Kwani kuimba siasa ni mpaka umtukane au um criticize tu?

Wale walioimba "Tanzania yetu ndio nchi ya furaha" kwa mfano wamepigwa mawe?

Jitu zima tena janamme unakuwa na tabia za kimende...hovyo kabisa!

Yani wewe ni shoga kabisa ndio maana unapenda minyimbo ya kulialia na kibwagizi cha ebooo kama James Delicious!
 
Acha uwongo, beat hazifanani, unaleta uzushi usio na maana pumbavu..

Sinaga utimu na ushabiki wa kishamba mkuu..nimeongea maoni yangu mimi kama mimi...Kama nimekukwaza kwa maoni niliyoyatoa ulipaswa uyapinge kwa maoni yako pia..kunitukana sana sana haisaidii kitu..ubarikiwe mnoo na mitusi yako!!

Beats zinafanana,hata kiziwi atakuambia ivyo!!!
 
Wewe Ni bilali yule wa DAR anaejua kulembua kukiko wanaume wote wa DAR,ok be careful with your heart.
 
Kalale Sasa mafikizolo ndo wameiba demo ya hiyo beat,beat Ni ya harmonize ok be careful with your heart.
 
Pumbavu kwa mara ya pili, beat hazifanani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…