hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaamku
mkuu ahsante sana kwa kutaka kunisaidia mtanzania mwenzako
nitanunua mwenyewe
ubarikiwe sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaamku
mkuu ahsante sana kwa kutaka kunisaidia mtanzania mwenzako
nitanunua mwenyewe
ubarikiwe sana
sasa asiseme ukweli"" ? wee vipi ""?
VP mkuuhahaaa
poa mzee" mambo niaje""?VP mkuu
safi mkuu VP pande hzo kwema??poa mzee" mambo niaje""?
Au Angela-kuami EugeneIla beat ni kama ya mafikizolo ngoma moja hiv inaitwa love potion kama sikosei,,ila harmo ni mkali amejitahidi kuimba kwa hisia
Ukweli upi?mziki Ni wa Nani Sasa?sasa asiseme ukweli"" ? wee vipi ""?
Yule mkongoman muimba ndombolo ya solo au?Anamuiga Ali Kiba
Siasa unataka jiwe atupige kakojoe ukalale kwani umelazimshwa eeebooooooo.Hizi nyimbo za kulia lia sizipendi hasa aimbapo mwanaume mwenye sikisipaki!
Waimbeko na za kisiasa za mafunzo si kila siku kulia lia umeumizwa au unafaidi mapenzi!
Mabeat huwa yanafanana ko usiclaim.