Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu,
Rajab Abdul Kahali maarufu Harmonize amepanda Madhabahuni na kupigwa maombi na Pastor Tony Kapola
===
Harmonize afanyiwa maombi na Pastor Tony Kapola sikuche baada kuonyesha kuvutiwa na mtazamo wa mtumishi huyo wa Mungu na kuandika, "Nataka nione kile ambacho Mungu ataniambia!!"
Jumapili hii Staa huyo wa Bongo Fleva amepanda kwenye madhabahu na kuombewa.
Pia, Soma: Video: Hili ndilo Gari alilopewa Eliud Samwel na Pastor Tony Kapola, Tazama Vibe lake