Harmonize abadili dini na kuwa Mkristo? akutana na Pastor Tony Kapola nakufanyiwa maombi

Wabongo kwa kukuza mambo, amesema hiyo sehemu ya pastor ipo katika video ya nandy, au ndo ngeli haipandi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Atatapeliwa
 
Sanaa na Wasanii🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kufanyiwa maombi ndio kubadili dini?
Jambazi, makonda,na Anko, wake Maghu walikuwa wakishinda misikitini kufanyiwa Dua! Na, mashekh,na hawakuwahi kubadili dini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…