Sio kweli maana Wasafi hayupo harmonize peke yake
Project gani mkuuWote hamuwezi kuwa bora,lazima kuna mwaka mmoja ata rise,hivi leo hii Hazard mchezaji bora upande michuano ya Europa 2018 leo ni mchezaji wa Madrid wewe unazani sifa atapewa nani Chelsea au Madrid?
Najua huwakubali Wasafi but Wasafi ndio wamemjenga Harmonize,projects zake zote bora zimesimamiwa na WCB.
Harmonize nje ya WCB ana project moja ambayo kafanya na Eddy Kenzo jiulize imefika wapi mpaka hivi sasa?
Inabana.Project gani mkuu