Harmonize aendelea kung'aa achaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA

Harmonize aendelea kung'aa achaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA

Eddy Kenzo X Harmonize maana yake nyimbo ni ya Eddy Kenzo pamoja na Harmonize wote nyimbo yao.Ndivyo ile nyimbo Ilivyopostiwa youtube.

Kama ingekuwa Eddy Kenzo Featuring Harmonize hapo ndio tungesema nyimbo ni ya Eddy Kenzo .Nazani umeelewa tofauti kati ya X na featuring.
Imewekwa kwenye akaunti youtube akaunti ya nani? Nadhani unaona utofauti
 
Imewekwa kwenye akaunti youtube akaunti ya nani? Nadhani unaona utofauti
We unaonekana sio mfuatiliaji wa mziki,hebu nakuwekea link hii ifuatile ujue ipo kwenye account ya nani

Kuweka kwenye acc haibadilishi maana ya X na featuring.

Kwani Yope ipo kwenye acc ya Diamond ina maana nyimbo ya Diamond?

Kuna nyimbo ya John frog ft Harmonize ipo kwenye account ya Harmonize ina maana nyimbo ya Harmonize.
 
Back
Top Bottom