Harmonize aendelea kung'aa achaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA

Imewekwa kwenye akaunti youtube akaunti ya nani? Nadhani unaona utofauti
 
Imewekwa kwenye akaunti youtube akaunti ya nani? Nadhani unaona utofauti
We unaonekana sio mfuatiliaji wa mziki,hebu nakuwekea link hii ifuatile ujue ipo kwenye account ya nani
Kuweka kwenye acc haibadilishi maana ya X na featuring.

Kwani Yope ipo kwenye acc ya Diamond ina maana nyimbo ya Diamond?

Kuna nyimbo ya John frog ft Harmonize ipo kwenye account ya Harmonize ina maana nyimbo ya Harmonize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…