Harmonize afunga ndoa na mpenzi wake Sarah

Awe makini yasije kumkuta ya Emmanuel Ebue.
Kwani Hamorapa aa Hamonize ana mali ipi yamkute kama ya Eboué? Eti anaoa beberu,mnataka kusema ile stori ya mtwara kumbe ni kawaida ya kwao?
 
Kuna tatizo mahala.. Shida ipo.
 
Mimi sioni tatizo kumuoa huyo dada. Mwenyewe yupo happy na alikuwa nae muda mrefu tu. Kwa hiyo anamjua in and out.hamo amebadilishwa maisha na huyo dada maana sasa hivi ameshauaga umasikini
 
Hongereni sana sarah na Hamonaizi kwa kufunga ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…