Harmonize ahimiza watu wafanye maombi kwa ajili ya Nigeria

Harmonize ahimiza watu wafanye maombi kwa ajili ya Nigeria

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Msanii anayetamba katika soko la Afrika Mashariki anayefahamikwa kwa jina la Harmonize, amehimiza wananchi wafanye maombi kwa Nigeria kutokana na machafuko yanayoendelea hivi sasa. Harmonize ametumia ukurasa wake wa instagram kuwaomba watu wote kuiombea Nigeria.
harmonize.png


===
Hatua hiyo imeonekana kuungwa mkono na msanii chipukizi Ibraah aliyechini ya label ya KondeGang
ibraah.png
 
Hao Maraisi wa Afrika wenyewe hutosikia hata wameinua mdomo....anawaona Wajinga sio.
 
Wanaogopa kusema lakini mioyo inawasuta.
 
Nchini kwenu mnapalilia machafuko majukwaani kwa kuwaita Watanzania wenzenu "Misukule" kisa wako vyama tofauti na chenu, Leo mnajifanya mna uchungu na Nigeria kuliko Tanzania? Au huyo Hamonaizi ni Mmsumbiji?
 
Harmonizer ni zuzu,ina maana haoni yanayoendelea Tanzania?Yanayoendelea Tanzania hayana haja ya maombi?
 
Lowassa 2015 pamoja na udhaifu wake lakini alipoimba Elimu Elimu Elimu Elimu alikua sahihi sana...kuna muda ukiwasikiliza vijana aina ya hawa wasanii unaweza shikwa na hasira ukaua mtu ni wamejaa upumbavu tu kichwani kwao wapo tayari kuchekelea hata mauaji kwa wenzao ili mradi wao mkono uende kinywani pumbavu.
 
Back
Top Bottom