Harmonize ahimiza watu wafanye maombi kwa ajili ya Nigeria

Wapuuzi hawa wasanii WaTz . UnajifanyaJe kuwaonea wa Nigeria huruma wakati hayo hayo yanafanyika Tz huku mkiwatukuza watawala ?!.

UNAFIKI ,UNAFIKI & UNAFIKI
Watu wafupi bwana, yeye haoni majanga yanayowakumba wabongo wenzie.
 
Kwani shida iko wapi hapo?

Kama yeye kaona Tanzania Hali iko shwari huwezi mlazimisha aone Kama unavyoona wewe.
 
Harmonize ni mpumbavu sana baada akemee uminywaji wa demokrasia
 
Mpumbavu yule anatuhujumu watz kwenda kunengua mikutano ya CCM harafu sahizi anajisemesha nini.
 
Ameshindwa kuhimiza serikali ikaokoe wamakonde wenzake waliotekwa Kitaya anakomaa na nwanaigeria, jinga kabisa
 
Mbona hawakufanya hivi baada ya ndugu zetu kuuliwa na wengine kutekwa kule kitaya,mbuzi sana hawa jamaa
 
Tanzania ndiyo yakuombea ccm iondolewe madarakani mana ndio chanzo cha matatizo yetu, shida, umasikini, ujinga, na maradhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…