Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Jan 29, 2024 #1 Msanii wa kizazi kipya nchini na CEO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapinzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri. Msanii Harmonize anatarajia kutoa wimbo wake kesho ambao amewashirikisha wasanii Bien toka Kenya na Boby Shmurda wa nchini Marekani. Hii ndio post Harmonize ame-share kwenye ukurasa wake wa Instagram. Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
Msanii wa kizazi kipya nchini na CEO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapinzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri. Msanii Harmonize anatarajia kutoa wimbo wake kesho ambao amewashirikisha wasanii Bien toka Kenya na Boby Shmurda wa nchini Marekani. Hii ndio post Harmonize ame-share kwenye ukurasa wake wa Instagram. Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 Jan 29, 2024 #2 Duh mziki wa bongo una mambo mengi sana
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Jan 29, 2024 #3 Mjanja M1 said: Msanii wa kizazi kipya nchini na 7EO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapenzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri. Click to expand... Wabongo tunawaza mbaliiii saaaaana😂
Mjanja M1 said: Msanii wa kizazi kipya nchini na 7EO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapenzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri. Click to expand... Wabongo tunawaza mbaliiii saaaaana😂
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,562 Reaction score 285,591 Jan 29, 2024 #4 Mmakonde bhana,kaanza kutafuta visingizio mapema mbona?
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 15,351 Reaction score 21,362 Jan 30, 2024 #5 Mbona kama anajihami mapema au wimbo ni mbaya
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,128 Reaction score 21,885 Jan 30, 2024 #6 Noorah na Ray C waliwahi kufanya ngoma na rapper wa marekani (D. Gritty) kabla hajaamua kumgeukia Mungu wake,
Noorah na Ray C waliwahi kufanya ngoma na rapper wa marekani (D. Gritty) kabla hajaamua kumgeukia Mungu wake,