Harmonize - Ahsante Magufuli (Official Video)

Harmonize - Ahsante Magufuli (Official Video)

Mimi nipo na zuchu tu.
Ahaaa huyu mtoto acheni tu.
Kafunika woteeeee
 
Sasa hyo nyimbo si itakuwa ina masaa 24.utaweza kusikiliza?
Wangeungana wote na kutoa wimbo wa pamoja ingependeza sana na siyo kushindana kwenye kipindi hiki cha majonzi.PUMZIKA KWA AMANI MAGUFULI.[emoji1241][emoji1241]
 

Ommy Dimpoz X Mwana Fa​


 

MKALIWENU X HARMORAPA X LINO X VESTINA​


 

BARUTI X KAYUMBA X MKOJANI​


 
Wasanii walioshiriki ni. 1. Christian Bella 2. Jay Melody 3. Mimi Mars 4. Nandy 5. Hamadai 6. Stamina 7. Chaz Baba 8. Marissa 9. Nedy Music 10. Young Lunya 11. Meja Kunta 12. Marioo 13. Isha Mashauzi 14. Chege 15. Sholo Mwamba 16. Nikki wa Pili 17. Mzee Yusuph 18. Shilole 19. Mapanch 20. Alicious

 

Benjamin wa Mambo Jambo​



 

Msafiri Zawose, Akenna, Mizzo Talent, Asaph, Riky Remy, Rajabu Elias​


 

Umoja Wa Waimbaji Mwanza​


 
Back
Top Bottom