Harmonize ajitwalia Jacky Wolper, new couple in town

sasa hiyo mi mama ya mjiji ataiweza na huyu ni dogo.
mzigo hawezi huyo tayari ni mama na kaptiwa na kila aina ya upinde. mashimo yanapanuka watoto kaeni mbali acha tuchimbe sisi mibaba.

kiongozi kumbe wewe ni mbaba?! nisamehe sana kwa kuwa hiyo avatar yako nishakuwazia mengi!!
 
Kwakweli nimemunderrate sana Wolper.
Hiki si kitoto kabisa jamani?
Halafu juzikati alikuwa anajiliza kwa kuvalishwa pete bandia.

Wapi mkongo?Sio kwa misifa ile.
[emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Hivi ma-super star wa kibongo baada ya kuimba na ku-act tu-film twao uchwara hawanaga project nyingine za kufanya zaidi ya mapenzii?ni wachache baada ya kutoka atarudi kwa jamii kuielimisha but most of them utasikia mara kamtongoza huyu,hawa ni wapenzi mara wale wamemwagana alimradi vurugu wengine nao wanachukua wamama zaidi ya waliowazaa..wanazidi kutuhaeibia kizazi.
 
Ina maana Wolper kaamua kutumika kwa kiki?? Hivi wanajielewa kweli hawa???? Limama lizima tena lilijitapa kuchumbiwa leo linaenda kumsaulia mtoto
Hakii...ndio maana mambo mengi ya nchi hii yanakwama mana hii milaana ni ya kujitakia loh!
 
Dogo #Harmonize wacha ujinga wa kutembea na mademu wa bongo muvi walioshindikana. Haka ka Wolper ni kachangu tu achana naye atakulostisha bure. Jitume na saidia nduguzo mafukara huko kwenu Tandaimba. Huyu atakutumia tu kwani kama kupigwa pumbu na kutumiwa na masela kapigwa sana yuko nawe kisanii tu. Si unajuwa mademu wa kichagga walivyo? Shauri yako.
 
Wachaga tena imetokea wapi
 
Intelligentsia inasema juu ni mpango wa kubumisha Aje ya bwana Kiba... Attention yote itakuwa kwa harmonize, huku kideo cha kina kikikosa viewers...
Iyo ni akili fupi hivi kiba amekosa ushawishi kiasi kwamba akitaka atoe video kusiwe na kitu kingine kinatred? Acheni kumshusha kiba kiasi hicho
 
Hii ni kick...nyie hamjui tu....hii ni style ya wasafi team
 
Iyo ni akili fupi hivi kiba amekosa ushawishi kiasi kwamba akitaka atoe video kusiwe na kitu kingine kinatred? Acheni kumshusha kiba kiasi hicho
We jamaa uko vizuri sana kichwani, hivi hata mimi nashindwa kushangaa kweli Kiba kafika kiwango cha kwamba pakiwa na kitu kingine kinaendelea basi kama ana nyimbo inadoda ......... sasa kama yupo kiwango hiki kwanini huwa wanamwita King ????
 
Hii habari mimi ntakuwa wa mwisho kuikubali japo mwanamke hawekewi dhamana ila si wolper kwa huyu mmakonde. ...hawa kina wolper ni vicheche ila ili akupe nyama inabidi uwe mkali. ..vigezo vya ukali huyu mmakonde hana. ..baadhi ya vigezo vya ukali aidha una mpunga mrefu au familia bora, kipande mauzo au hamnahamna basi body la kinyamwezi hata ukigonga viwambwiko vitulie mwilini. .au jina kubwa town sio umaarufu wa kupepea mpaka utambulishwe ndo raia waseme aha kumbe wewe ndo flani. ..sasa hivi vyote harmonize hana
 
Ila waswahili wanasema "Gari lililotembea umbali mrefu ndo linathibitisha ubora wa engine yake"
Kijana mwache apambane kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…