Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hiyo mi mama ya mjiji ataiweza na huyu ni dogo.
mzigo hawezi huyo tayari ni mama na kaptiwa na kila aina ya upinde. mashimo yanapanuka watoto kaeni mbali acha tuchimbe sisi mibaba.
Wachaga tena imetokea wapiDogo #Harmonize wacha ujinga wa kutembea na mademu wa bongo muvi walioshindikana. Haka ka Wolper ni kachangu tu achana naye atakulostisha bure. Jitume na saidia nduguzo mafukara huko kwenu Tandaimba. Huyu atakutumia tu kwani kama kupigwa pumbu na kutumiwa na masela kapigwa sana yuko nawe kisanii tu. Si unajuwa mademu wa kichagga walivyo? Shauri yako.
una akili ndogo sana ndugu ntakupotezakiongozi kumbe wewe ni mbaba?! nisamehe sana kwa kuwa hiyo avatar yako nishakuwazia mengi!!
Intelligentsia inasema juu ni mpango wa kubumisha Aje ya bwana Kiba... Attention yote itakuwa kwa harmonize, huku kideo cha kina kikikosa viewers...Huyu binti anatumika kumuongezea huyo mtoto umaarufu..
Iyo ni akili fupi hivi kiba amekosa ushawishi kiasi kwamba akitaka atoe video kusiwe na kitu kingine kinatred? Acheni kumshusha kiba kiasi hichoIntelligentsia inasema juu ni mpango wa kubumisha Aje ya bwana Kiba... Attention yote itakuwa kwa harmonize, huku kideo cha kina kikikosa viewers...
Utanipwelepweta bureHarmoloveeeee......
Ataliwa vihela vyakeeee...aachwe
We jamaa uko vizuri sana kichwani, hivi hata mimi nashindwa kushangaa kweli Kiba kafika kiwango cha kwamba pakiwa na kitu kingine kinaendelea basi kama ana nyimbo inadoda ......... sasa kama yupo kiwango hiki kwanini huwa wanamwita King ????Iyo ni akili fupi hivi kiba amekosa ushawishi kiasi kwamba akitaka atoe video kusiwe na kitu kingine kinatred? Acheni kumshusha kiba kiasi hicho