dah,maskini na usista duu wote ule?kama ni kweli hii ishu bc naungana rasmi na wahenga..."hakuna kizuri kisicho kasoro".Eeeh hako hako, make anaachwa tu kila siku
Teh Teh Mwl dhambi hiyo kama mkongo kamuacha kisa lile linalosemwa ni tatizo lake basi mkongo kakosea sana!Eeeh hako hako, make anaachwa tu kila siku
Huyu nae ana gundu, hiyo papuchi yake kama meza ya kuchezea kamali watu wanafunua tu na kufunika.......Teh Teh Mwl dhambi hiyo kama mkongo kamuacha kisa lile linalosemwa ni tatizo lake basi mkongo kakosea sana!
Mimi nilishakuwa na akanana mwenye tatizo kama lile linalo semwa la huyo binti lakini nilidumu nae tulifight hadi akapona!
Basi mkongo hakumpenda binti Jackline!
Lakini naona mmakonde kajichukulia ntoto ....
Labda ni kiki lakini najiuliza kama ni kiki kweli sidhani kama bado ana mahusiano na mkongo...maana haingii akilini!Huyu nae ana gundu, hiyo papuchi yake kama meza ya kuchezea kamali watu wanafunua tu na kufunika.......
Kisa cha kukaa kwenye uchumba sugu ni nini sasa, haolewi pete hadi inaweka kutu kidoleni
Kama kaachwa mcongo pia huyu ana katatizo tuLabda ni kiki lakini najiuliza kama ni kiki kweli sidhani kama bado ana mahusiano na mkongo...maana haingii akilini!
Ayaaa umemalizia vibayaDogo #Harmonize wacha ujinga wa kutembea na mademu wa bongo muvi walioshindikana. Haka ka Wolper ni kachangu tu achana naye atakulostisha bure. Jitume na saidia nduguzo mafukara huko kwenu Tandaimba. Huyu atakutumia tu kwani kama kupigwa pumbu na kutumiwa na masela kapigwa sana yuko nawe kisanii tu. Si unajuwa mademu wa kichagga walivyo? Shauri yako.
Nakumisi balaaAyaaa umemalizia vibaya
Unishindi Mimi aiseeNakumisi balaa
Kwanin lakin tumepoteana hivi!Unishindi Mimi aisee
Tunapishana tu ila nipo sanaKwanin lakin tumepoteana hivi!
Mchoyo sana, umezuia pm y?Tunapishana tu ila nipo sana
Pm imezuiwaje mkuu?Mchoyo sana, umezuia pm y?
Inaelekea hujaruhusu txt kuingiaPm imezuiwaje mkuu?
Ngoja niangalie settingInaelekea hujaruhusu txt kuingia
Wewe team Kiba hamjiamini kiasi hiko kama msanii wenu?Hii ni kick wameanzisha makusudi ili ndo iwe habari ya mjini ili kuizima nyimbo mpya ya Ali kiba isipate promo kwenye social network.! Ni upuuzi tu