Harmonize ajitwalia Jacky Wolper, new couple in town

Harmonize ajitwalia Jacky Wolper, new couple in town

Eeeh hako hako, make anaachwa tu kila siku
Teh Teh Mwl dhambi hiyo kama mkongo kamuacha kisa lile linalosemwa ni tatizo lake basi mkongo kakosea sana!
Mimi nilishakuwa na akanana mwenye tatizo kama lile linalo semwa la huyo binti lakini nilidumu nae tulifight hadi akapona!

Basi mkongo hakumpenda binti Jackline!

Lakini naona mmakonde kajichukulia ntoto ....
 
Mmakonde huyo lazima ampeleke Nachingwea amchore Chale za Uso mzima.... apendeze zaidi sijui Wlper atakubali au ndio utakuwa mwisho wa Mapenzi... ya wizi wizi
 
Mwacheni Achumani afaidi mambo ya Dasilamu.
 
Teh Teh Mwl dhambi hiyo kama mkongo kamuacha kisa lile linalosemwa ni tatizo lake basi mkongo kakosea sana!
Mimi nilishakuwa na akanana mwenye tatizo kama lile linalo semwa la huyo binti lakini nilidumu nae tulifight hadi akapona!

Basi mkongo hakumpenda binti Jackline!

Lakini naona mmakonde kajichukulia ntoto ....
Huyu nae ana gundu, hiyo papuchi yake kama meza ya kuchezea kamali watu wanafunua tu na kufunika.......
Kisa cha kukaa kwenye uchumba sugu ni nini sasa, haolewi pete hadi inaweka kutu kidoleni
 
Huyu nae ana gundu, hiyo papuchi yake kama meza ya kuchezea kamali watu wanafunua tu na kufunika.......
Kisa cha kukaa kwenye uchumba sugu ni nini sasa, haolewi pete hadi inaweka kutu kidoleni
Labda ni kiki lakini najiuliza kama ni kiki kweli sidhani kama bado ana mahusiano na mkongo...maana haingii akilini!
 
Hii ni kick wameanzisha makusudi ili ndo iwe habari ya mjini ili kuizima nyimbo mpya ya Ali kiba isipate promo kwenye social network.! Ni upuuzi tu
 
Dogo #Harmonize wacha ujinga wa kutembea na mademu wa bongo muvi walioshindikana. Haka ka Wolper ni kachangu tu achana naye atakulostisha bure. Jitume na saidia nduguzo mafukara huko kwenu Tandaimba. Huyu atakutumia tu kwani kama kupigwa pumbu na kutumiwa na masela kapigwa sana yuko nawe kisanii tu. Si unajuwa mademu wa kichagga walivyo? Shauri yako.
Ayaaa umemalizia vibaya
 
Hii ni kick wameanzisha makusudi ili ndo iwe habari ya mjini ili kuizima nyimbo mpya ya Ali kiba isipate promo kwenye social network.! Ni upuuzi tu
Wewe team Kiba hamjiamini kiasi hiko kama msanii wenu?

Kila kitu mnatafuta sababu, hapa mujini bhana kwa hiyo tuache kuongelea vyooote tuwe tunaongelea aje?

Wimbo ka wa kawaida lazma husipate promo kihivyo
 
Mcongo mwenyewe keshafuta picha za wolper insta
 
Back
Top Bottom