Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
kipi hako?Mmh kama kaachwa na mcongo.... Ntaanza kuamini sasa kuwa ana kale katatizo watu wanamsemaga
Cheki post namba 51kipi hako?
Hii ni kick wameanzisha makusudi ili ndo iwe habari ya mjini ili kuizima nyimbo mpya ya Ali kiba isipate promo kwenye social network.! Ni upuuzi tu
Wewe una mawazo mgando kabisa ina maana kiba akitoa nyimba kusiwe na jambo lingine linazungumziwa? Unataka kusema alikiba hana ushawishi kiasi hicho? Duu kwaiyo kiba akitoa nyimbo basi watu wote wakae kimya azunguziwe yeye tu, kitu kizuri hakijifichi bhana , tumia akiliHii ni kick wameanzisha makusudi ili ndo iwe habari ya mjini ili kuizima nyimbo mpya ya Ali kiba isipate promo kwenye social network.! Ni upuuzi tu
Teh Teh Mwl dhambi hiyo kama mkongo kamuacha kisa lile linalosemwa ni tatizo lake basi mkongo kakosea sana!
Mimi nilishakuwa na akanana mwenye tatizo kama lile linalo semwa la huyo binti lakini nilidumu nae tulifight hadi akapona!
Basi mkongo hakumpenda binti Jackline!
Lakini naona mmakonde kajichukulia ntoto ....
Nimeshangaaa sana hata mimi mkuu yaani inamaana kiba akitoa nyimbo basi watu wengine wasifanye mambo yao ni ujinga kwa kweliWewe team Kiba hamjiamini kiasi hiko kama msanii wenu?
Kila kitu mnatafuta sababu, hapa mujini bhana kwa hiyo tuache kuongelea vyooote tuwe tunaongelea aje?
Wimbo ka wa kawaida lazma husipate promo kihivyo
Hahahahaaa..!!mkuu mbavu zangu eti renewable .[emoji28]Kwani kuna mita mkuu inasoma useme unit zitakuwa zinaisha? Ile kitu ni renewable resources haita kaa iishe