Harmonize ajitwalia Jacky Wolper, new couple in town

Harmonize ajitwalia Jacky Wolper, new couple in town

Hii ni kick wameanzisha makusudi ili ndo iwe habari ya mjini ili kuizima nyimbo mpya ya Ali kiba isipate promo kwenye social network.! Ni upuuzi tu


Hii paranoia sasa ni too much, watu wasifanye mambo Yao kisa mmetoa wimbo? Mwisho mtasema watu wameficha sukari Ili single mpya ya Kiba isipate promo kwenye TV. Lol
 
Hii ndiyo Tanzania watu wako busy kuuza nyuch na kuficha sukari. Magufuli mbona utatafuta kivuli cha kupumzika tu.
 
Tambiko la mastaa wa bongo ni ngono zembe.
 
Maisha bongo ni maraisi sana ukiyajulia..
Wameshawasoma aina ya mashabiki wao na kujua wanapendelea vitu gani so umaarufu wanauchukua kiurahisi mnooo..
 
Hii ni kick wameanzisha makusudi ili ndo iwe habari ya mjini ili kuizima nyimbo mpya ya Ali kiba isipate promo kwenye social network.! Ni upuuzi tu
Wewe una mawazo mgando kabisa ina maana kiba akitoa nyimba kusiwe na jambo lingine linazungumziwa? Unataka kusema alikiba hana ushawishi kiasi hicho? Duu kwaiyo kiba akitoa nyimbo basi watu wote wakae kimya azunguziwe yeye tu, kitu kizuri hakijifichi bhana , tumia akili
Teh Teh Mwl dhambi hiyo kama mkongo kamuacha kisa lile linalosemwa ni tatizo lake basi mkongo kakosea sana!
Mimi nilishakuwa na akanana mwenye tatizo kama lile linalo semwa la huyo binti lakini nilidumu nae tulifight hadi akapona!

Basi mkongo hakumpenda binti Jackline!

Lakini naona mmakonde kajichukulia ntoto ....
 
Wewe team Kiba hamjiamini kiasi hiko kama msanii wenu?

Kila kitu mnatafuta sababu, hapa mujini bhana kwa hiyo tuache kuongelea vyooote tuwe tunaongelea aje?

Wimbo ka wa kawaida lazma husipate promo kihivyo
Nimeshangaaa sana hata mimi mkuu yaani inamaana kiba akitoa nyimbo basi watu wengine wasifanye mambo yao ni ujinga kwa kweli
 
Back
Top Bottom