Harmonize akamatwa Nairobi akidaiwa kutotokea kwenye Klabu kadhaa alizolipwa atumbuize Jijini humo

Acha masihara, unajua ksh 50m ni bilioni moja ya kibongo?
 
Harmonize hiyo ngumi amempangusa tu, angemtandika vizuri amuondoe meno ya mbele aache kiherehere.
 
Hazifiki yaani hata Ile laki 3 ya kenya haifiki kama unabisha fuatilia unafanya mchezo Kwa club Gani za maana na hao wakina diamond
 
Tusome hii statement ya E.Omondi

================


“Kenyans have to understand the difference between a club appearance, or technical appearance, or a meet-and-greet and an after-party. They are not like a concert,” the comedian was quoted as saying.
 
Wengine wana 'comment' bila hata kupitia habari yote
 
Nimewaongelea kwa ujumla. Hata mlima kilamanjaro wanaupenda ila hawapendi uhalisia kuwa upo Tanzania

Muziki wanaupenda ila wenye muziki wanafanyiwa figisu figisu za kutosha
Syo kweli

Mziki wa bongo unapendwa

Ova
 
87M au 870,000KSH sijakusoma
 
how much they will payed? Hii lugha haiko sawa.
 
Uislamu hauruhusu kabisa kwenda Club (hata kama sio kipindi cha Ramadhan), na unapiga marufuku hii miziki ya kina Harmonize.
Miziki ya akina Ali Kiba na Diamond je, uisilamu unaruhusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…