"Mtaje" na "Miss Bantu" mle jamaa alikuwa serious sanaMjomba NCHUMALI ni mwanamuziki mzuri saana shida tu ana mambo ya kilofa wakati mwingine..
Ila akikaa chini akaandika ngoma yake, unaweza tongozea mkeo ukamuoa kwa mara ya pili.
ππ€£
Achana na "single again" na "wote" ni moto wa kuotea mbali."Mtaje" na "Miss Bantu" mle jamaa alikuwa serious sana
Mie mke wangu nilipomuimbia wote na ile msalaba, akaniambia ningeenda na porojo zile hata mahari singenidai... ππ€£"Mtaje" na "Miss Bantu" mle jamaa alikuwa serious sana
Na vibaya pamoja na aiyola"Mtaje" na "Miss Bantu" mle jamaa alikuwa serious sana
Kabisa. Tatizo ni mhuniMjomba NCHUMALI ni mwanamuziki mzuri saana shida tu ana mambo ya kilofa wakati mwingine.
Ila akikaa chini akaandika ngoma yake, unaweza tongozea mkeo ukamuoa kwa mara ya pili.
ππ€£
Kabisa kaka, usela mwingiKabisa. Tatizo ni mhuni
Akiacha uhuni akatuliza kichwa atakua mkubwa sana.