Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunza kumbu kumbu zabibu kiba,aligoma.Acha uongo lokole,harmo hajawahi kukataa kumpa mkono kiba bali domo alipewa kiwiko
Sasa umeandika Nini,au haujui Kama diamond ni brand kubwa..?Wasanii wapuuzi tu hadi kwenye mazishi ni kiki,mazishi ya ruge wcb walienda kutafuta kiki huku wameingia na mabaunsa kibao kuvuta attention ya watu.
Leo tena inashangaza kwenye msiba Diamond kasimamiwa na mabaunsa na harmo kasimamiwa na mabaunsa pia,mtu anakaa mabaunsa wanamsimamia kwa nyuma,aisee wasanii hii tabia za kufanya kiki kwenye misiba ni upuuzi
FactKila mtu ashinde mechi zake...
February 9 Harmonize alipost kipande cha katuni akicheza hujanikomoa na akakifananisha na Sallam Sk.
Sallam Sk amekataa kua mnafki ameonyesha wazi kua kama unanichukia na mimi nakuchukia so hakuna unafki hapo.
Nb:Sisapoti bifu na chuki ila pia unafki ni kitu kibaya
Acha uongo lokole,harmo hajawahi kukataa kumpa mkono kiba bali domo alipewa kiwiko
Ndio la msingi hiloUshahidi wa picha uko wapi mkuu?
Ila kilichotokea kwa Harmonize kule Tanga msibani baada ya kwenda bila mabaunsa si unakumbuka?Wasanii wapuuzi tu hadi kwenye mazishi ni kiki,mazishi ya ruge wcb walienda kutafuta kiki huku wameingia na mabaunsa kibao kuvuta attention ya watu.
Leo tena inashangaza kwenye msiba Diamond kasimamiwa na mabaunsa na harmo kasimamiwa na mabaunsa pia,mtu anakaa mabaunsa wanamsimamia kwa nyuma,aisee wasanii hii tabia za kufanya kiki kwenye misiba ni upuuzi