Harmonize aligoma kupokea mkono wa King Kiba ila leo Bosi Sallam amegoma kupokea mkono wake imekuwa nongwa

Kila siku ni Alikiba usipomskia utamskia diamond nae haishi siku ujamskia Harmonize! Si kesho naomba nami jina langu Great God liongelewe humu sio kila siku wao tu
 
Uwage unafatilia matukio vizuri wee mpwa, acha kukurupuka. Khaaaaaah
 
Njaa mbaya sana eti bosi salam??
Unamfanyia kazi IPI we we??
 
Kila mtu ashinde mechi zake...

February 9 Harmonize alipost kipande cha katuni akicheza hujanikomoa na akakifananisha na Sallam Sk.

Sallam Sk amekataa kua mnafki ameonyesha wazi kua kama unanichukia na mimi nakuchukia so hakuna unafki hapo.

Nb:Sisapoti bifu na chuki ila pia unafki ni kitu kibaya
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Balaa ni pale unapoleta taarifa za uwongo alafu watu wakakushutukia mambo ni πŸ”₯
 
Bora hata harmonize na mond Wana walinz sio yule DJ kutwa kuzurula peke yake
 
Sasa umeandika Nini,au haujui Kama diamond ni brand kubwa..?
 
Fact
 
Ila kilichotokea kwa Harmonize kule Tanga msibani baada ya kwenda bila mabaunsa si unakumbuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…