Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Hii nchi ina vijana mazezeta sana. Huyu mwanamuziki aliyetwaa tuzo huko Marekani alifika jana alfajiri saa 11 na ndege ya shirika la Uturuki, akabaki ndani ya uwanja huku akiendelea kuratibu mapokezi yake.
Umati ulikuwa ukija kwa mafungu mafungu hadi mida ya saa saba ndio akatoka nje sasa ili alakiwe kwa maandamano.
Kwa akili hizi ndio maana tuna vijana wa hovyo wanaodhani watatoka kimaisha kwa kuwa chawa wa mtu fulani.
Vijana ni aibu kwa taifa kwani ndio hawa wamesukuma gari kuanzia Airport hadi nyumbani kwa Harmonize.
Hawa ni vijana wanaotumika sababu vichwa vyao vimejazwa upumbavu na kutojiamini.
Mwisho wa siku wanazeeka bila ndoto zao kutimia wanaamua kuwa wachawi, wakiona una hela kidogo tu, wanakuroga.
Bora Mshana Jr kaachana na uchawi