Harmonize alitua na Turkish Airways saa 11 alfajiri, akabaki Airport hadi saa saba kusubiri maandamano ya kumpokea

Angekua ni mwanasiasa mkubwa kama tundu lissu au mtumishi uchwara kama mwakasege, nyie wazee msingejazana hapo?

Kila rika lina mapendeleo yake, kijana kushabikia wanamuziki haimaniishi hafanyi vitu vingine, wewe fuata mambo yako.
Niichokisoma ndo kilicho andikwa au Sijasom vizuri hapo alipoingizwa Mwakasege? Depal pamoja na mengine tuliyonayo ila sio kweli
 

Na sasa hv hawawi wachawi wanakuwa mashoga.. maana ukiendekeza uchawa utafanya lolote utakaloambiaa na wanaokulea mjini..

Sasa kwa njaa ya mafanikio utageuzwa homo..

Unless ni kama aliwalipa pesa nzuri kwa maana labda kama haikuwa uchawa ila aliwakodisha wameingiza pesa.. then its business as usual ila kama ni kupoozwa pesa mbuzi tu basi hamna kitu
 
Kama unaweza kumfuatilia hivo basi we pia upo miongoni mwa hao vijana wa hovyo unaosema
 
Si kitu kidogo,kumfanya kijana aache kazi yake ya maana aje akuangalie tu.
Huyu mtu ana KITU.
 
Muda wote huo unamfuatilia kijana wa watu umelipwa shillingi au dola ngapi?
 
Muda wote huo unamfuatilia kijana wa watu umelipwa shillingi au dola ngapi?
 
Kuna jamaa hapa kijiweni anasema kwa ule msafara Harmonizer akigombea urais anachukua nchi mapema asubuhi
 
Kwani shida iko wapi? Wamempenda mtu wao na amerudi na ushindi kwa nini wasimpokee tena kwa maandamano. Au hayo ni simba na yanga tu?
 
Kuna watu Wana Roho za kwanini sana, mleta mada ni mmoja wapo.
Why don't you mind your own business. Kama hao vijana walienda kumpokea Mtu wewe imekuathiri vipi?
Acheni chuki za kipuuzi.
 
Angekua ni mwanasiasa mkubwa kama tundu lissu au mtumishi uchwara kama mwakasege, nyie wazee msingejazana hapo?

Kila rika lina mapendeleo yake, kijana kushabikia wanamuziki haimaniishi hafanyi vitu vingine, wewe fuata mambo yako.
Mi mwenyewe ningekuwa dar ningekwenda kumpokea, kasubutu kutoka choka mbaya mpaka kuwa star kajitahidi, na hata alivyosubilia kupokewa kafanya vizuri kuliko watu wangeenda wamkute kaondoka.
 
Sijaona shida...Hata angekaa hadi Usiku unaofuata...
#kondeboy for everybody#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…