Harmonize alitua na Turkish Airways saa 11 alfajiri, akabaki Airport hadi saa saba kusubiri maandamano ya kumpokea

Si kataja mfano tu
 
Si kataja mfano tu
Mifano Kwa kuwaita watu uchwara?
Hivi ni sahihi kweli?
Hawezi toa mifano bila kukashifu wengine?
Kwanini kuwaita watu majina ya ajabu ,Tena hawahusiki hawana hata hayo mambo ya media?

Nipo hapa,ngoja tuone ndugu!
 
Maisha ya WASANII wetu YANAWAHARIBU VIJANA![emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
MAISHA YAO YAMEZIDI USANII MPAKA YANAKINAI...
Nchi hii sahvi 80 ya vijana na watoto wanataka kuwa wasanii nao wakate mauno

Ova
 
Angekua ni mwanasiasa mkubwa kama tundu lissu au mtumishi uchwara kama mwakasege, nyie wazee msingejazana hapo?

Kila rika lina mapendeleo yake, kijana kushabikia wanamuziki haimaniishi hafanyi vitu vingine, wewe fuata mambo yako.
Mwakasege ni uchwara?? Tushike lipi😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…