Harmonize ameachia video ya Sina ndani yupo Mr.Nice.

Wimbo mzuri na ujumbe mahususi
 
Idea ya huu wimbo hauna tofauti yoyote na wimbo wa Utanipenda wa Diamond.

Wakiambia wanatoa nyimbo mfululizo mpaka Idea zinawaishia wanakuja juu na kuita watu hater.
 
Hater
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…