Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumrudisha vipi mkuu?Safi kichupa kikali naona wanataka kumurudisha jamaa kama walivyo fanya kwa Saida.
-Ndumilakuwili-
Subiri uone media za bongo zitakavyompa ma interview utadhani walikuwa hawamuoni...Kumrudisha vipi mkuu?
Ametumika kama character kwenye video tu.
Idea ya huu wimbo hauna tofauti yoyote na wimbo wa Utanipenda wa Diamond.
Wakiambia wanatoa nyimbo mfululizo mpaka Idea zinawaishia wanakuja juu na kuita watu hater.
Bangi mbaya, si bora hata ungesema macmugaIdea ya huu wimbo hauna tofauti yoyote na wimbo wa Utanipenda wa Diamond.
Wakiambia wanatoa nyimbo mfululizo mpaka Idea zinawaishia wanakuja juu na kuita watu hater.
Mkuu tyar shilawadu wamesha mpata jana kwenye pind lao ila ndyo kk ya town kwakeSubiri uone media za bongo zitakavyompa ma interview utadhani walikuwa hawamuoni...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata yawe mazuri vipi shetani huona ni mabaya tu .Idea ya huu wimbo hauna tofauti yoyote na wimbo wa Utanipenda wa Diamond.
Wakiambia wanatoa nyimbo mfululizo mpaka Idea zinawaishia wanakuja juu na kuita watu hater.
Kwa upande mwingne naonaga idea ya Mwana haina utofauti sana na macmugaIdea ya huu wimbo hauna tofauti yoyote na wimbo wa Utanipenda wa Diamond.
Wakiambia wanatoa nyimbo mfululizo mpaka Idea zinawaishia wanakuja juu na kuita watu hater.