Harmonize amedhulumu haki za Ibraah kwa kutomlipa ndani ya miezi 6 akisema alikuwa anampima?

Huyo ibraah si alikua anavimba utafikiria anamiliki 2m mfukoni kumbe apeche alololo waya mkali fc
 
Wakazi hii hajaiona nini?

Au kwa kuwa haimuhusu Mondi na label yake.
 
Wakazi kuna watu huwa anawasubiria waingie 18 zake 😁😁
Chuki zake zimejificha kwenye ushauri halafu anamshauri mtu anayejua kuliko yy, dogo wa Tandale hasoma kweli ila ana exposures kubwa kuliko yy, kutoka na watu anaokutana nao kwenye mziki.

Kuwekeza hela kwa mtu sio swala dogo,japo ni biashara ila,inahitaji uwe na moyo wa upendo.Dogo nimetizama intvw YouTube, ana mengi sana ya kusema na kuna siku atafunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…