Harmonize ameenda Nigeria leo kukamilisha album yake. Wizkid na Burnaboy ni miongoni mwa wasanii walioshirikishwa humo

Ale atitu De ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kuna wakati wasanii huwa wanapata pressure sana kiasi kwamba, huwezi kujua wanaimba nini aisee.

Unakuta msanii kachoka, hana mood lakini analazimisha tu kufanya kazi.

Hata huyu Harmonize naona anajitahidi, hali hii iliwahi kumkuta pia Diamond wakati akiwa na pressure za Kiba na Clouds.

Kuna mshkaji wangu fulani ni Shabiki lialia wa Diamond tangu enzi hizo ana mdomo mkubwa, akawa anasema jamaa anapata kollabo kubwa ajitahidi basi kuimba vizuri. Kwa maoni yake anasema jamaa alikuwa anaimba vibaya halafu, video anakimbia kimbia tu ( wakati huo ametoa video ya Nana feat Mr. Flavor)

1- Kwenye wimbo alioshirikishwa na Waje unaitwa Coco baby, yaani alipuyanga kiwango cha 4G.

2- Wimbo wake wa Kidogo feat Psquare, binafsi huwa naona Peter ndio kaimba fresh. Diamond alikuwa anapumua pumua tu yaani.

3- Diamond feat Mafikizolo, kile kisauti sijui alikitoa wapi maana sijawahi kumsikia akikitumia tena kwenye wimbo mwingine.

Kwahiyo nadhani huwa ni suala la muda tu.
 
Kongole kwake Star wetu wa Bongo flavour,
Azidi kuipeperusha bendera pia kafanya vema kufanya collabo na mastar wa Africa huenda na yeye mwakani akachukua tuzo ya grammy,

Wote tuseme,
Amiiiiiin.
awiiiiiiiiiiiiiii
 
Kwakweli usikate tamaa unaweza kutoboa ukuba, baba levo na hbaba hawqjakata tamaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hbaba nimeona video kapost akiwa airport na akiwa hoteln sijui nigeria pale yani ana mikogo hatari.

The hustle is real
 
Wimbo wa diamond na psquare kwangu ni wimbo mbaya yani niliuskiliza sikufika hadi mwisho. Hakuna nilichopenda mle.
 
Wimbo wa diamond na psquare kwangu ni wimbo mbaya yani niliuskiliza sikufika hadi mwisho. Hakuna nilichopenda mle.
Kipande cha mwisho alichoimba Peter, kiko vizuri.
 
" cha ajabu ananenepeana ila kwenye music bado sana", naona kajaza uma na vijiko mixer upawa aisee dogo kaishiwa bora angegombea ubunge akagonge meza na kina mwana fa.
 
Kwakweli usikate tamaa unaweza kutoboa ukuba, baba levo na hbaba hawqjakata tamaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hbaba nimeona video kapost akiwa airport na akiwa hoteln sijui nigeria pale yani ana mikogo hatari.

The hustle is real
Kwa hiyo Hbaba ameletwa kwa ajili ya kumdhibiti baba levo
 
Kwa hiyo Hbaba ameletwa kwa ajili ya kumdhibiti baba levo
Hbaba beef lake na Diamond limeanza kabla hata Harmonize hajatoka.

Tatizo siku hizi kuna vitoto vya juzi havijui chochote.

Diamond alimuibia Hbaba idea ya ngoma yake studio kwa KGT.

Naona Rajabu kavaa kabati la vyombo

Sijui hiyo aliyovaa anaifuaje
 
Ni kweli kila mtu ana mtazamo wake,lakini mitazamo ya wengi ndio inaweza kuchukuliwa

Ukigoogle star namba moja huwezi kukutana na jina Harmonize
Huyo unayetaka awepo tayari kawepo wacha tupate mastar wengine... Wataka tuwe na mmoja tuh kwani kawa tanesco huyo [emoji190]
 
Ina maana hujui idea ya kumchukua Awilo imetoka kwa Diamond? Au hujui hii safari ya sasa ni copy ya safari ya Diamond Afrika kusini? Akifa Diamond atamcopy nani
Acha ushamba kwa hio ulitaka aendelee kubaki hapa hapa bongo asifanye kolabo na wasanii wa nje.. Acheni roho mbaya kwanza kuiga muhim akuna kitu kipya mondi kakopi vitu kibao hamuongei...
 
Hbaba beef lake na Diamond limeanza kabla hata Harmonize hajatoka.

Tatizo siku hizi kuna vitoto vya juzi havijui chochote.

Diamond alimuibia Hbaba idea ya ngoma yake studio kwa KGT.

Yaani mishabiki ya wcb haitaki kujua hilo... Walitegemea konde atafeli lakin jamaa kaleta ushindani mpaka Tuna enjoy
 
Acha ushamba kwa hio ulitaka aendelee kubaki hapa hapa bongo asifanye kolabo na wasanii wa nje.. Acheni roho mbaya kwanza kuiga muhim akuna kitu kipya mondi kakopi vitu kibao hamuongei...
Acha kijitia ujuha, timing ya kufanya mambo yake ni hadi mondi afanye. Kolabo na wasanii wa nje inasubiria Diamond akienda South Africa. Mondi anacopy kwa watu tofauti tofauti kuleta ladha tofauti ha Harmonize ambae mtu wa kumcopy kila kitu ni Diamond. Aombee sana Diamond asife wala asiache muziki
 
Hbaba beef lake na Diamond limeanza kabla hata Harmonize hajatoka.

Tatizo siku hizi kuna vitoto vya juzi havijui chochote.

Diamond alimuibia Hbaba idea ya ngoma yake studio kwa KGT.

Hivi ilikuwa nataka kulewa au nimpende nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ