Harmonize ameendelea kutudhihirishia kuwa kuna nguvu ya ushawishi mitandaoni imepungua katika muziki wake

Harmonize ameendelea kutudhihirishia kuwa kuna nguvu ya ushawishi mitandaoni imepungua katika muziki wake

Ngonepi

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
1,872
Reaction score
1,207
Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekuwa msanii namba mbili WCB na nchini Tanzania kwa ujumla bwana Harmonize ameendelea kutudhihirishia kuwa kuna nguvu ya ushawishi mitandaoni imepungua katika muziki wake baada ya kujitoa kwenye lebo hiyo kubwa Tanzania!

Mara baada ya kuachia Album yake ya kwanza nnje ya WCB na kuachia video ya kwanza MAMA kwenye album hiyo tumeona kwa mara ya kwanza Harmonize akisuasua na kushindwa kufikisha viewers 1M hata baada ya wiki kupita!

Wakati hayo yakiendelea wasanii Rayvanny na Mbosso ambao bado wapo chini ya lebo hiyo kubwa nchini wao wameendelea kumtambia msanii Harmonize kwa kumkibiza mbali sana kwa viewers wengi sana kwa muda mfupi tangu watoe nyimbo zao!

Harmonize juzi aliandika huko instagram kuwa kutokana na kuwa tayari album yake ina video za nyimbo zote atalazimika kuachia video mara baada ya mojawapo kufikisha 1m viewers!
Sasa kutokana na ugumu anaoupata kufika viewers hao ameamua tu kuachia video ya Bedroom hata kabla video ya Mama kufika 1m.

Kwa pamoja tumuunge mkono atoboe sawasawa na yaliyokuwa malengo yake wakati anajitoa USAFINI!!!!
Screenshot_2020-03-28-18-05-16.jpeg
Screenshot_2020-03-28-18-05-42.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WCB uchawi, Ulozi, ujanja ujanja , wabeba nyota za watu

Tena Nampa Hongera Kondeboy, angalau nayeye anajitahidi Kuloga ndomaana japo bado anawika wika.

"What is yours will always be yours no matter what "
Kama wewe ni manager wa harmonize basi kwa style hiyo harmo hatafika mbali especially kwenye international level
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekuwa msanii namba mbili WCB na nchini Tanzania kwa ujumla bwana Harmonize ameendelea kutudhihirishia kuwa kuna nguvu ya ushawishi mitandaoni imepungua katika muziki wake baada ya kujitoa kwenye lebo hiyo kubwa Tanzania!

Mara baada ya kuachia Album yake ya kwanza nnje ya WCB na kuachia video ya kwanza MAMA kwenye album hiyo tumeona kwa mara ya kwanza Harmonize akisuasua na kushindwa kufikisha viewers 1M hata baada ya wiki kupita!

Wakati hayo yakiendelea wasanii Rayvanny na Mbosso ambao bado wapo chini ya lebo hiyo kubwa nchini wao wameendelea kumtambia msanii Harmonize kwa kumkibiza mbali sana kwa viewers wengi sana kwa muda mfupi tangu watoe nyimbo zao!

Harmonize juzi aliandika huko instagram kuwa kutokana na kuwa tayari album yake ina video za nyimbo zote atalazimika kuachia video mara baada ya mojawapo kufikisha 1m viewers!
Sasa kutokana na ugumu anaoupata kufika viewers hao ameamua tu kuachia video ya Bedroom hata kabla video ya Mama kufika 1m.

Kwa pamoja tumuunge mkono atoboe sawasawa na yaliyokuwa malengo yake wakati anajitoa USAFINI!!!!View attachment 1402239View attachment 1402240

Sent using Jamii Forums mobile app

This obvious

Wcb ni team
Konde ni mmoja

Atasimama, anatengeneza base yake

Mboso na rayvanny watoke kila mmoja ajisimamie aone

Harmonize is the best kwa hao wawili, na harmonize hataweza kumuangusha diamond tu
 
Kuna watu wanacheza sana foul kwenye hizi YouTube account juzi tu Nandy alilalamika mara viewers wamepungua na baadaye wakarudi ukweli wanajua wao wanacholipwa na YouTube maana walewazee wakuboost tunawajua wazee wa marobot.
 
Alipotoka mlimvimbisha kua ni mkubwa kuliko mondi nae akaanza kuimba majungu ndipo mashabiki wa wcb wakamkacha, naona saivi hata 1m views anawatafta kwa tochi...

kwa muziki wa sasa platform ndo zinajudge ukubwa wa msanii na sio maneno, na hicho ndo kilichomponza kiba akabaki msanii wakawaida.
 
**** nyimbo Rickross, Chris Brown wanazidiwa views na Rayvanny ila kwa hela hawa wafikii.

Rayvanny na Mbosso makusanyo yao hayafiki ya Harmonize

Sent using Jamii Forums mobile app
Una matatizo sio madogo, yaan Chris brown azidiwe view na rayvanny? Mtu anagonga view 1billion , ushabiki mwingine bhana ,
 
Back
Top Bottom