Harmonize amefeli sana kutompost Diamond kwenye birthday yake

Harmonize amefeli sana kutompost Diamond kwenye birthday yake

Birthday ya Diamond unalia wewe, au kakutuma uje kumwaga machozi huku?
 
Dada wew andika ubuyu tu ya ndani ndani huwezi kuyajuwa dadaangu
 
Kwani lazima kumuwish mtu happy birthday...tena Instagram...mnajuaje kama amemtumia msg binafsi ...wabongo fools mnataka umbeya muone flani kumuwish happy birthday ionekane Instagram bila hivyo mnajua hajamuwish...sio lazima..kuna msg private kumbuka
 
Kwani illikuwa ni lazima uanzishe uzi!!!!!
 
Mi naamini kama diamond & harmo ni wanaume hawawezi kumind
Kutokutakiana birthday njema Instagram kawaida sana labda sisi wanawake tunaweza tukamind
Kwa mwanaume sidhani maana wengine hata kukumbuka birthday zao hawakumbuki
Yaah kama mm huwa anankumbusha mama
 
Hlf ukimtoa mtu haimaanishi basi siku zote atakaa anakutegemea ww tu. Itafika point nae akaweza kusimama peke yake na kufanya yake.
Hata Diamond nayeye wapo waliomtoa sidhani kama huwa anawapost kwenye siku zao za kuzaliwa
 
Siku hizi insta ndio hakimu wa maisha ya watu

Kuna maisha nje ya insta jamani
 
Back
Top Bottom