Harmonize ameniangusha kwenye Bedroom video

By Sangu Joseph
.
Ninawaza kuwaambia watu nimeiona video ya Bedroom ya Harmonize_tz na hasa nikikumbuka Mzee wangu Jakaya Kikwete alipoteza muda wake kushuhudia uzinduzi wa hii Audio, nadhani kama angejua Video Ingekua hivi ambayo Mimi nimeiona angeagiza usiimbwe pale Mlimani.

Afroeast ya Harmonize ilikua ya watu wote, kuanzia wanasiasa, vijana, wanawake, viongozi wa Serikali, viongozi wa vyama, na alishaipa viwango Album yake ndiyo maana tuliona waalikwa kama Jakaya Kikwete, Tulia Ackson, Waziri Mwakyembe, Humphrey Polepole walishiriki uzinduzi na waliufurahia. (Video haina maadili + Kipindi cha Corona)
.
Viwango vya Jakaya Kikwete, Waziri, Viongozi wa Vyama, nadhani haustahili hii video, ilitakiwa kuwepo kwa video ambayo hata mtu anayefanana hadhi na Mzee Kikwete / Rais / Makamu / Waziri Mkuu aitazame, ila kwangu hii sidhani hata, Viongozi waalikwa watatamani kuuliza video imetoka. (Video haina maadili + Kipindi hichi cha Corona)
.
Nadhani Kwa hili, Harmonize na wasanii wenzake watakua wamejifunza ukiweka Standard ya kitu chako lazima umaintain hadhi yako, hasa kwa Project unayoifanya kwa wakati huo
.
Insta: FB: Twitter: Sangu Joseph
Mimi sioni tatizo la video,labda lile shepu lilowekwa kwenye bikini ndio tatizo.
 
tatizo la mtoa mada ni lile eneo ilipo wekwa raman ya afrika,yeye kazoea kuiona ikichorwa kwenye kuta za madarasa machakavu huko kijijini kibwandu.

Alafu yule mdada mbona aanzishiwi uzi humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By Sangu Joseph
.
Ninawaza kuwaambia watu nimeiona video ya Bedroom ya Harmonize_tz na hasa nikikumbuka Mzee wangu Jakaya Kikwete alipoteza muda wake kushuhudia uzinduzi wa hii Audio, nadhani kama angejua Video Ingekua hivi ambayo Mimi nimeiona angeagiza usiimbwe pale Mlimani.

Afroeast ya Harmonize ilikua ya watu wote, kuanzia wanasiasa, vijana, wanawake, viongozi wa Serikali, viongozi wa vyama, na alishaipa viwango Album yake ndiyo maana tuliona waalikwa kama Jakaya Kikwete, Tulia Ackson, Waziri Mwakyembe, Humphrey Polepole walishiriki uzinduzi na waliufurahia. (Video haina maadili + Kipindi cha Corona)
.
Viwango vya Jakaya Kikwete, Waziri, Viongozi wa Vyama, nadhani haustahili hii video, ilitakiwa kuwepo kwa video ambayo hata mtu anayefanana hadhi na Mzee Kikwete / Rais / Makamu / Waziri Mkuu aitazame, ila kwangu hii sidhani hata, Viongozi waalikwa watatamani kuuliza video imetoka. (Video haina maadili + Kipindi hichi cha Corona)
.
Nadhani Kwa hili, Harmonize na wasanii wenzake watakua wamejifunza ukiweka Standard ya kitu chako lazima umaintain hadhi yako, hasa kwa Project unayoifanya kwa wakati huo
.
Insta: FB: Twitter: Sangu Joseph
usikute hao uliowataja wanajifungianga kuangalia pornography

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wimbo unaitwa Bedroom halafu unataka video ionyeshe watu wako kwenye foleni za uboreshaji wa daftari la wapiga kura? Yaani Konde boy kapiga zake kofia ya Tasaf na tshet ya NEC?
 
By Sangu Joseph
.
Ninawaza kuwaambia watu nimeiona video ya Bedroom ya Harmonize_tz na hasa nikikumbuka Mzee wangu Jakaya Kikwete alipoteza muda wake kushuhudia uzinduzi wa hii Audio, nadhani kama angejua Video Ingekua hivi ambayo Mimi nimeiona angeagiza usiimbwe pale Mlimani.

Afroeast ya Harmonize ilikua ya watu wote, kuanzia wanasiasa, vijana, wanawake, viongozi wa Serikali, viongozi wa vyama, na alishaipa viwango Album yake ndiyo maana tuliona waalikwa kama Jakaya Kikwete, Tulia Ackson, Waziri Mwakyembe, Humphrey Polepole walishiriki uzinduzi na waliufurahia. (Video haina maadili + Kipindi cha Corona)
.
Viwango vya Jakaya Kikwete, Waziri, Viongozi wa Vyama, nadhani haustahili hii video, ilitakiwa kuwepo kwa video ambayo hata mtu anayefanana hadhi na Mzee Kikwete / Rais / Makamu / Waziri Mkuu aitazame, ila kwangu hii sidhani hata, Viongozi waalikwa watatamani kuuliza video imetoka. (Video haina maadili + Kipindi hichi cha Corona)
.
Nadhani Kwa hili, Harmonize na wasanii wenzake watakua wamejifunza ukiweka Standard ya kitu chako lazima umaintain hadhi yako, hasa kwa Project unayoifanya kwa wakati huo
.
Insta: FB: Twitter: Sangu Joseph
Uchambuzi umebase kwa maoni yasiyo na hoja wala mantiki hii ni Sanaa sasa cjui ulitaka akaimbie ikulu sababu kwenye uzinduzi kamualika raisi mstaafu au kwa vile kamualika naibu spika basi angeifanyia bungeni au
Tuliza akili toa uchambuzi wenye mantiki
Kama ningekuwa mwalimu nimekupa swali la kujibu kwa kutoa maoni yako ningekupa maksi 0% ya 0%
 
Back
Top Bottom