Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shimo la tewa ni Mwana ukome mchambia Ndimu.[emoji23]Fanyeni fanyeni asije fika Shimo la tewa,Shimo la tewa ni Mwana ukome mchambia Ndimu.Ukifika pande zile ukitoka utamwamkia hata Mtoto mdogo.
Sasa mbona ametoka na escort ya sonkoSafari ya ndege kutoka TZ ni madakika lakini Harmonize[emoji90]alipofika jana Kenya pia alialikwa CitizenTV,10over10 Program! Pamoja na artist wengine ambao walikuwa hosted!
Wao waliitupea kionjo na kutuburudisha lakini hamornize akatayarishiwa podium vizuri akaulizwa maswali vizuri!akaamua ajibu na kizungu mingi alafu ni kama mtu hataki kujibu!
Akaambiwa apige show ya kionjo kama wasanii wengine walivyofanya lakini akaanza zile zake[emoji51][emoji51]eti,"well am tiredi nimetoka safari refu kutoka darrrr you know,sijui sijui this that this!is not easy my friend you know eheee![emoji90]
Aende ndani kamiti straight akitoka kileleshwa policestation![emoji51]
Huyu ndio director wa klabu. Anasema Harmonise alichukua pesa ila alikataa kuperform. Anasema kwamba Harmonise atakaa kwa jela hadi Wednesday watakapoenda kortini.
Jana alikua club Volume Mombasa akiperform... inaonekana Sonko hakutaka Ku disappoint wateja wa club yake akaamua atume escort ije imchukue Nairobi na kumsafirisha Hadi Mombasa ki VIPSasa mbona ametoka na escort ya sonko
Ku hustle na kutafuta hela.... Kwa siku tatu alikua aingize kama Ksh 4 million kutoka venue tofauti tofauti...Ni kitu gani kilimpeleka Kenya?
Omondi ni mdau wa team WCB ambao ni mahasimu wa jadi wa Konde Gang.Ku hustle na kutafuta hela.... Kwa siku tatu alikua aingize kama Ksh 4 million kutoka venue tofauti tofauti...
Lakini kumbe kulikua na utapeli flani unaendelea, pesa zinatolewa alafu hapo ndo mwisho wa story... kuna mtu Kati ya timu ya harmonize au Eric Omondi alikua anapiga dili na kuchukua pesa bila kumuelezea Harmonize mwenyewe kama dili inasema nini...
Tupe kidogo yanayojiriFanyeni fanyeni asije fika Shimo la tewa,Shimo la tewa ni Mwana ukome mchambia Ndimu.Ukifika pande zile ukitoka utamwamkia hata Mtoto mdogo.
Hakuna kinachojiri sema Segerea na Keko zote ni Hoteli kwa Shimo la tewaTupe kidogo yanayojiri
Sijajua kwanini hasa chanzo cha masikini kuwa na chuki iliyopitiliza.Safi sana.
Leo wakenya mnifurahisha.
Hapo hapo endeleeni kushikiria.
Hawa wasanii matapeli na wajanja wa TZ hii ndio dawa yao. Wamezoea kudhulumu na kujifanya wana pesa za kuchezea kumbe ni njaa kali na wezi wakubwa.