Harmonize Amgawia Q Chief Gari

Watu kwa kuponda jitihada ndogo aloyofanya mwingine ukute kwenye maisha yao hawajawahi hata kumsaidia mtu mia
 
Kiuhalisia hili ni tusi.. Sizungumzii aina ya gari wala simpangii cha kutoa lakini angempa nyenzo sio gari
Nadhani gari ni nyenzo katika kazi yake ya muziki, pia naona nia ya Harmonize ni kumrudisha huyu jamaa kwenye ramani ya muziki na ndio kitu muhimu zaidi kwake, hadi sasa amefanya nae ngoma kama tatu na zote ziko youtube(unaweza fuatilia). Ila muhimu zaidi ni yeye Q-Chief kutumia nafasi kama hizi kufanya juhudi otherwise.....
 
Nikikupa mwekundu leo utaniona wa maana sana lakini kesho utanikumbuka tena nikupe ila nikikupa nyenzo ya kukupatia mwekundu kila siku hiyo ni zaidi ya kutoa
Sasa kwani Gari sio nyenzo Mkuu Kwa hadhi ya Jina Na tunavyomjua Q chila gari ndio kitu sahihi kwa wakati huu ili ata kuondokana na stress za maneno ya kebei ya mtaani na pia anaweza itumia kama nyezo ya kumpatia pesa town kwa kuifanya ubber bolt na vitu vingine vingi tu ......
 
Hapo maneno ya kejeli na stress ndio zinatongeka maana unavyojua wabongoo watasema hata gari lenyewe la kupewa(kuhongwa)
 
Kiuhalisia hili ni tusi.. Sizungumzii aina ya gari wala simpangii cha kutoa lakini angempa nyenzo sio gari
Porte hata yule petyman alizuga!ayo kwa Esma.ila zawadi ni zawadi wimbo mpya Q kaliwa kisogo kakubali,inabidi asilale na chuki tu
 
Coz angeweza kuwasaidia ndugu zake watoke kimaisha sio kutafuta kiki mjini,
Anagawa gari ya 10M ambazo angeweza kuwagawia fedha ndugu zake kijijini wakapunguza makali ya maisha
Mkuu umejuaje kama hajawasaidia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…