Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mambo yanazidi kutokota kila kukicha. Mara baada ya doto wa diamond platnums (Harmonize/Kondeboy) kusikia demu wake anagawa utamu kwa bodyguard wa diamond platnums, Harmonize amemdhalilisha vibaya sana Mwarabu fighter kwa kumnanga kwamba jamaa hana mvuto wa kimapenzi pia hayupo romantic na vile vile haja jaaliwa sura na hana swaga ambazo zinaweza zikamshawishi Sarah ahamishe majeshi kutoka kwake(Harmonize) kupeleka kwa huyo mbeba vyuma aliyekakamaa kama mti mkavu na amepauka kama kau kau.
Harmonize amedai kuwa jamaa hata kucheka tu hajui akicheka anakuwa kama kituko au kama yale manyani dume(Genda heka).
Harmonize amedai kuwa jamaa hata kucheka tu hajui akicheka anakuwa kama kituko au kama yale manyani dume(Genda heka).