Harmonize amrushia kijembe Mwarabu Fighter

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Mambo yanazidi kutokota kila kukicha. Mara baada ya doto wa diamond platnums (Harmonize/Kondeboy) kusikia demu wake anagawa utamu kwa bodyguard wa diamond platnums, Harmonize amemdhalilisha vibaya sana Mwarabu fighter kwa kumnanga kwamba jamaa hana mvuto wa kimapenzi pia hayupo romantic na vile vile haja jaaliwa sura na hana swaga ambazo zinaweza zikamshawishi Sarah ahamishe majeshi kutoka kwake(Harmonize) kupeleka kwa huyo mbeba vyuma aliyekakamaa kama mti mkavu na amepauka kama kau kau.

Harmonize amedai kuwa jamaa hata kucheka tu hajui akicheka anakuwa kama kituko au kama yale manyani dume(Genda heka).

 
Mbona kama hakumaanisha kua mbaya ila alimaanisha hawezi kumgusa maana hata kucheka shida ila kwa Mbosso angeweza sababu ana mmudu.

Ubuyu wako umekosa aidha pilipili au sukari... lol
Inabidi uwe na akili ya ziada ili uweze kung'amua baadhi ya mambo.
 
wanawake hawanaga hizo, kule amefata swaga za kiume, sio mara kujipaka poda, mara kudye nywele ,vijana mnatumia muda mwingi kujipamba sawa na dada zenu, mtakimbiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…