Harmonize amrushia kijembe Mwarabu Fighter

Inawezekana kuna mmojawapo ana wimbo mpya anataka kutoa so anatafuta kiki tu
 
Kijana awe mpole tu kwa vile kakubali kulelewa..Muarabu endelea kusukuma mashine yule mbana pua ni goi goi sana
 
Naona dada yenu wamemuingiza mkenge, ndio tabu ya kutegemea source za HIDE MY ID. Jamaa kaoa ana mke wake wametoka nae mbali na wamebahatika kupata mtoto naona WCB sasa hivi wanamng`ong'a mange, alizani amewaharibia kumbe amewapromoti.
 
huyu dogo kanishangaza sana
pengine mtoto kalala kifuani wanasoma kijembe chake halafu wanacheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…