Harmonize amshukuru Diamond

Iweke hiyo post humu mkuu.

Dogo ni mnafiki sana yule, sana.

Yaani umetoa ngoma mbili ndani mfululizo za kumtukana mtu, tena moja haijamaliza hata wiki eti Leo unaomba msamaha!

Nasubiri kuona hiyo post kwanza.
Out of topic.
Mnatuangusha sana Majogoo,huku mtaani hatukai ndugu zetu wa OT wanatupigia makelele.
 
Out of topic.
Mnatuangusha sana Majogoo,huku mtaani hatukai ndugu zetu wa OT wanatupigia makelele.

Mwanangu, hapa tunaomba tu leo Astonvilla leo ajaribu kuzima haya makelele.

Maana sisi hapa tunaweka mipango upya huku tukiomba wenzetu wasaidie.
 
Hapo kwenye appreciate ungeandika appreciation
 
Chawa kwenye ubora wako
 
KIKI HYO.
huyo dogo kaona nyimbo yake watu wameipotezea ana tafuta attention
 
Team harmonize kijana wenu kanyoosha mikono juu. Vipi na nyie mtanyoosha?.

Hapo anayeumia Ni H baba.
Uenda Vita imemzidi uwezo kijana wenu
 
Mwambieni huyu mmakonde aachane na Lugha ya Malkia.
Anatia aibu
 
Hiki kiingereza chake ndio msala mtupu. Ni vizuri ukiona umepiga pombe za kutosha bora uachane na Internet tu.
 
Sawa kaomba radhi na kutoa kilichopo moyoni mwake na ujumbe umefika ila ajifunze kuandika,
 
Duh! Ila jamaa una hasira kwahiyo nimegeuka kuwa huyo innocent so ilinisiwe huyo innocent comment iweje?



Huyo jamaa ni mdwanzi tu, akikukwaza yeye ndio anaenjoy. Inawezekana akawa mtoto wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…