joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Out of topic.Iweke hiyo post humu mkuu.
Dogo ni mnafiki sana yule, sana.
Yaani umetoa ngoma mbili ndani mfululizo za kumtukana mtu, tena moja haijamaliza hata wiki eti Leo unaomba msamaha!
Nasubiri kuona hiyo post kwanza.
Mnatuangusha sana Majogoo,huku mtaani hatukai ndugu zetu wa OT wanatupigia makelele.