Harmonize amtupia madongo Diamond Platnumz jukwaani amtaja kwa jina

Harmonize amtupia madongo Diamond Platnumz jukwaani amtaja kwa jina

Dangote mnamjua nyie????...

Kudadeki konde boy sio mtu mzuri yaani katoa dis na hit
 
Sanaa ni kazi ngumu.

Mpaka sasa najiuliza nani kapoteza zaidi baada ya yeye kujitoa! Ni WCB au ni yeye.

Wote wamepoteza, ila kuna aliyepoteza zaidi.
 
Uongo
Wasafi classic, family ya Diamond,kondegang wote ni kitu kimoja,

Malumbano ya mond na harmo ni mpango ambao kwa haraka unaweza jua watu wana ugomvi kumbe ni mbinu ya kuendelea kutrend na kushikilia industry ya muziki hapa bongo
 
Back
Top Bottom