Papi Chulo JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 6,260 Reaction score 7,395 Jan 17, 2021 #21 Dangote mnamjua nyie????... Kudadeki konde boy sio mtu mzuri yaani katoa dis na hit
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,556 Jan 17, 2021 #22 Sanaa ni kazi ngumu. Mpaka sasa najiuliza nani kapoteza zaidi baada ya yeye kujitoa! Ni WCB au ni yeye. Wote wamepoteza, ila kuna aliyepoteza zaidi.
Sanaa ni kazi ngumu. Mpaka sasa najiuliza nani kapoteza zaidi baada ya yeye kujitoa! Ni WCB au ni yeye. Wote wamepoteza, ila kuna aliyepoteza zaidi.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Jan 17, 2021 #23 Uongo Itovanilo said: Wasafi classic, family ya Diamond,kondegang wote ni kitu kimoja, Malumbano ya mond na harmo ni mpango ambao kwa haraka unaweza jua watu wana ugomvi kumbe ni mbinu ya kuendelea kutrend na kushikilia industry ya muziki hapa bongo Click to expand...
Uongo Itovanilo said: Wasafi classic, family ya Diamond,kondegang wote ni kitu kimoja, Malumbano ya mond na harmo ni mpango ambao kwa haraka unaweza jua watu wana ugomvi kumbe ni mbinu ya kuendelea kutrend na kushikilia industry ya muziki hapa bongo Click to expand...
Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 Jan 17, 2021 #24 Karucee said: Binafsi sijaipenda. Wazazi waheshimiwe bwana. Click to expand... Upo sahihi ila hii mambo ya kuja kutafutia kick kwenye mambo yangu ya kifamilia sio poa! Au nasema uongo ndugu zangu?
Karucee said: Binafsi sijaipenda. Wazazi waheshimiwe bwana. Click to expand... Upo sahihi ila hii mambo ya kuja kutafutia kick kwenye mambo yangu ya kifamilia sio poa! Au nasema uongo ndugu zangu?
Da Vinci XV JF-Expert Member Joined Dec 7, 2019 Posts 3,862 Reaction score 6,438 Jan 18, 2021 #25 watajua wenyewe