Harmonize amuwekea dhamana Kizz Daniel

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]nnemba newala bbaaahhhhh....
 
Hii ni win win situation.
Mmakonde mjanja sana huyu.
Katenda wema lakini pia kategesha mtego wake ambao utanasa kiulaini..

Hiyu ndio mnamfananisha na na yule bonge mnyakyusa?
 
Usiku huu Harmonize amemuwekea dhamana msanii mwenzie wa Nigeria aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Polisi la Tanzania.

Harmonize ameweza kumdhamini Kizz Danièl na kuondoka naye kutoka kituo cha polisi usiku huu.
Alifanya kosa gani
 
Hizi nguo inawezekana zilikuwa na itu kingine nyuma ya pazzia... kwanini akatae kuvaa nguo zingine alizopewa ili apie show..?
 
It means bongo hakuna nguo za yeye kuvaa au sio?[emoji23]
 
Huyo dogo show aliyoairisha n kusema ataifanya Ijumaa alipanda jukwaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…