Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

Bila shaka Kajala atakuwa kalia haamini macho yake.
 
Mabilionea wanahesabika sjawai msikia harmonise asa iyo 10b inaingiaje apo.....kajala sio wa kukaa kwenye ndoa wananzengo tunajua
 
Bila shaka Kajala atakuwa kalia haamini macho yake.
Kwani ndo mara ya kwanza kuolewa? Kulia huwa ni unafki tu kwani huwa hawajui kinachofanyika na unakuta maandalizi wameyafanya wote.....sema mmakonde ndo haamini kapata mwanamke wa kuvumilia lile dude (kama issue iko serious lakini) Evelyn Salt
 
Sasa yale matanzanite ya Laiza yalikuwa ya 5billion sasa ninachoshangaa ni vito gani vinavyogharimu bil 10?

Kwa maana hata kama ingekuwa dhahabu tupu bado dhahabu ya 10b ni. Uzani mkubwa sana na haiwezekani mtu kumudu kuivaa kidoleni

Kumbuka thamani ya Vito inapimwa kwa Uzani najiuliza madini ya bil 10 ni ya aina gani ni uzito gani?
 
Acha ujinga! Bilioni 10 unaijua wewe? Utajiri wake wenyewe haufikii bilioni10, ndio ije iwe pete ya uchumba tu??!!
πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜…πŸ€£πŸ€£
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani hawa siwaamini amini Basi tu
Ikawe kheri kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…