Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

Tuna ushahidi wa kutosha kwamba hakukuta bikira mle. Sasa gharama zote hizi je angeikuta?
Navojua watu hawaoi u*ch* wa mwanamke, wanaoa mwanamke ambaye ana akili ya kulea familia na kuiendesha kiujumla......gharama izo huwa ni madrama tu sasa kasema alikuwa hana pa kuishi kajala akamuifazi leo billion itoke wapi
 
Mbona umeshajijibu mkuu? Nan ana kadi zao za clinic sasa adi tujue umri? Ila nafikiri akati kajala anamzaa Paula harmo alikuwa na miaka miwili
Kubbbke!Dogo atakuwa akipewa pussy hadi anajiliza kimakonde!Noma kimbwa!😂😂😂😂
 
Ukisikia nguchiro ndiyo huyu Rajabu. Hilo jimama sijui lina umri gani? Rajabu huenda kizazi cha Shida anajifichia kwa huyu Bibi si bure. Yaani sielewi kabisa.
Watu wanatafuta uzoefu na ndio maana kuna wengine wanapenda nyanya zile ngumu ngumu na wengine wanapenda MASALO.

Wahuni wanasema K hainaga miss call useme utaona majina ya waliopiga wewe ukiona jipigie.
 
Mbona hivi Mkuu?
Kila mtu anafanya anachopenda....Kinachompendeza.

Aliwaona wa kila aina, Wasio magumegume na wasio na nyonga zisizokaza...Ila amechagua alichochagua....
Ana hasira huyo...hadi namuita konde boy kenge😂😂😂
Atakuwa ana maswahibu siyo bure
 
Lishangazi Limempata kijana wa kimakonde.
Mdogo wetu harmonize anaenda faida mambo

Aisee ukila mishangazi huwezi acha utasumbuka sana.

Situation anayopitia harmo niliwahi pitia mimi miaka 5 iliyopita [emoji1787][emoji1787]
 
Kwani ndo mara ya kwanza kuolewa? Kulia huwa ni unafki tu kwani huwa hawajui kinachofanyika na unakuta maandalizi wameyafanya wote.....sema mmakonde ndo haamini kapata mwanamke wa kuvumilia lile dude (kama issue iko serious lakini) Evelyn Salt
Kajala ana ndoa mbili au tatu.

Yule mmewe wa gerezani sijui ashatoka
 
Mbona hivi Mkuu?
Kila mtu anafanya anachopenda....Kinachompendeza.

Aliwaona wa kila aina, Wasio magumegume na wasio na nyonga zisizokaza...Ila amechagua alichochagua....
Hamna! Hawa wote inabidi washtakiwe.
 
Back
Top Bottom