Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

Kwani ndo mara ya kwanza kuolewa? Kulia huwa ni unafki tu kwani huwa hawajui kinachofanyika na unakuta maandalizi wameyafanya wote.....sema mmakonde ndo haamini kapata mwanamke wa kuvumilia lile dude (kama issue iko serious lakini) Evelyn Salt
Nilikwambia yaani haamini kabisa,hizi ndoa za wabongo movie na wabongo fleva tuzitizame kama maigizo.
Screenshot_20220626-071847_Instagram.jpg
 
ikawe heri kwao..

lokole ataweka wapi uso wake😍😀😀😀
 
Punguza makasiriko kwenye mambo ya watu.....watu wanamipango yao na maisha yao ambayo siyo lazima ifanane na ya kwako.
Cha ajabu ni mwanaume sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangaa wee mwenzangu, lol
 
Natabiri anguko la Harmonize kimziki 06/25/2022
Mwanaume wa kiafrika kumpigia mwanamke magoti jambo la kufikirisha sana🙁
Sawa mtabiri tambi tambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
jeshiiii khooo!khooo! teacher kondeeee moshiii couple yenye afya mjini acha inyeshe tujue wapi pana vuja
 
Konde love ya Stan bakora iwafikie😂😂
 
Kwani hawa wana umri gani, Kajala liko poa sana, mengine mimi hata sijui ila kijana ngoja atafune kitu mfupa uko mbali.

Kwani Shilole ameolewa? Nalo litam linaonekana.
 
Back
Top Bottom