Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

Inaonesha wengi wanapenda type zako mkuu, so tunajitahidi japo kufikia kidogo
Kuna namna ukishikashika ile nyama laini mfupa mbali, ukishika tyako kwa kulitomasa, ukichezea kifua chake..woooi unatamani umuachie hadi ubongo wako, kungekuwa na option ya kumwaga ubongo vijana wengi tusingekuwa na ubongo..haha!

Lakini baki hivyo, wapo wengi wanaopenda..wanasema nyama iliyopo karibu na mfupa ni tamu, sie twataka steki!
 
Aiseeeh!
 
Hallelujah!! Hayawi Hayawi sasa yanekuaaa [emoji6] Love is a beautiful thing hasa ukipata mtu umpendae na yeye akakupenda [emoji7] leo hii jioni Harmonize amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Kajala Masanja.

Inasemekana Pete hio imegharimu bilioni 10 za kitanzania. Pete hiyo imenunuliwa nchini uturuki kwa kina ertugru [emoji16]

Wamependeza sana na wenye wivu wajinyonge [emoji12] Kwa sasa hii ndo kapo namba moja inayokubalika na yenye ushawishi mkubwa Tanzania na East Africa. Tunawatakia maisha mema na ya furaha tele...[emoji3578]

Picha na video chini ni bwana Harmonize akiwa na mchumba wake Kajala wakati wa tukio zima la uvishwaji pete. View attachment 2271917
View attachment 2271918
View attachment 2271919
View attachment 2272018
Shenzi zenu,Billion 10 unaijua unaisikia?hebu jaribu hata kuiandika hapa tuone kama unaweza!!
 
Heri kwako pia madam. Hivi kuna namna ukawa unaendana na huyu tunayemzungumzia hapa?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana Eroni...
Sioni namna ya kuendana na huyo anazungumziwa hapo kabisa,[emoji28]
 
Kuna namna ukishikashika ile nyama laini mfupa mbali, ukishika tyako kwa kulitomasa, ukichezea kifua chake..woooi unatamani umuachie hadi ubongo wako, kungekuwa na option ya kumwaga ubongo vijana wengi tusingekuwa na ubongo..haha!

Lakini baki hivyo, wapo wengi wanaopenda..wanasema nyama iliyopo karibu na mfupa ni tamu, sie twataka steki!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu ni wewe?
 
Back
Top Bottom