Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

F U N Z O Hadithi inatufundisha

Binadamu tuwe na akiba ya maneno hasa mkipishana maelewano na mtu...

Mambo ya wapenzi wakipishana tuwaachie wenyewe...

Lingine mwanaume akililia mapenzi Sampuli ya Rajabu,,, basi tumwache Mazingira yakamfundishe nini alipaswa kufanya,,, na pia huenda sisi tukajifunza kupitia yeye.... TUMPE MUDA...

Mwisho: Tupunguze Ushauri,,, watu tayari wana mipango yao hapa Mjini.
 
Sasa uyo dada atakubali kuyaishi maisha ya ndoa eti awe mama wa watoto wa mtu awalee ktk maadili kama wamama wengine alivyo hivyo! Mtu anafanywa na libol*o ambalo tayari lishamfanya binti yake! Maana msg alizovujisha wakati ule kuna mahali nliona kwa uelewa wangu ni kama alikuwa anamshawishi waendelee asimuogope mama
Shida ya wamama wa mjini hawana kinyaa,wanashare mwanaume na mashoga zake...huyo nae utakuta ni masharti ya mganga
 
Shida ya wamama wa mjini hawana kinyaa,wanashare mwanaume na mashoga zake...huyo nae utakuta ni masharti ya mganga
Huyu mmakonde hapo atachemsha
Tu...
Naona yeye anamuona kajala mpya
Kwanza kajala hana plan and hoja ni kupendeza,na kutumia tu

Ova
 
ukiona mtoto wako amezoea kudet na vimama lia futa machozi maisha yake yatakuwa huvyo hivyo
Ah kajala hazeeki 40+ lkn mmbichi

Hata ukimuona baba yake mzee masanja Ana mwili mzuri ....

Ila maisha haya kajala ndiyo anapenda bata,media's etc

Faraji ex mme wa kajala anaujua mziki wake [emoji1]

Ova
 
Hallelujah!! Hayawi Hayawi sasa yanekuaaa 😉 Love is a beautiful thing hasa ukipata mtu umpendae na yeye akakupenda 😍 leo hii jioni Harmonize amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Kajala Masanja.

Inasemekana Pete hio imegharimu bilioni 10 za kitanzania. Pete hiyo imenunuliwa nchini uturuki kwa kina ertugru 😁

Wamependeza sana na wenye wivu wajinyonge 😜 Kwa sasa hii ndo kapo namba moja inayokubalika na yenye ushawishi mkubwa Tanzania na East Africa. Tunawatakia maisha mema na ya furaha tele...✍️

Picha na video chini ni bwana Harmonize akiwa na mchumba wake Kajala wakati wa tukio zima la uvishwaji pete.

A
HARMO kesi yake ya TALAKA ishapigwa pale TEMEKE ONE STOP CENTRE , talaka ikatoka kimya kimya sema kajala kaula wa mchanga, hakuna mali alizopewa, tena kesi yenywe ilikwenda under "PERSUMPTION OF MARRIAGE", ukiangalia hii engagement jamaa anaonekana very innocent mwishowe akaishia kula "kuku na mayai yake" yaani " kajaa na pauu"
 
Back
Top Bottom