Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 387
Kwani kuna tatizo au ugomvi wowote? mpaka wewe mleta post kikakufanya ulete UPASHKUNA?
Hahaha.... kuna watu wanapenda LIGITatizo mashabiki wanapenda kuchonganisha sana hizi pande mbili ilhali wasanii wenyewe hawana tatizo lolote baina yao.
Haaaaa nimejikuta nimecheka mpaka watu kwenye hiace wamenishangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]huyo dogo atakua anatafuta soko la kariakoo tu
Mashabiki muache kuchonganisha jaman.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]huyo dogo atakua anatafuta soko la kariakoo tu
Huyu dogo ni kajipu kadogo. Kama keshafanya kollabo na simba...alitakiwa levels za juu...kama kina AKA..Davido...2face aache watu Wa localhuyo dogo atakua anatafuta soko la kariakoo tu