alibaaliyo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 623
- 576
Mi kuna mtu namjua kapata kichaaa cha kudumu...kisa bangi.Mengine yoote sawa ila jamani mmea wangeuacha tu maana ni unstopable, rejea Adam mwenyewe pale Bustanini jani alilikuta na alikuwa akiburudika nalo maana ni kitu Natural, hakijapitia maabara kile.