A alibaaliyo JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 623 Reaction score 576 Dec 10, 2022 #41 Norshad said: Mengine yoote sawa ila jamani mmea wangeuacha tu maana ni unstopable, rejea Adam mwenyewe pale Bustanini jani alilikuta na alikuwa akiburudika nalo maana ni kitu Natural, hakijapitia maabara kile. Click to expand... Mi kuna mtu namjua kapata kichaaa cha kudumu...kisa bangi.
Norshad said: Mengine yoote sawa ila jamani mmea wangeuacha tu maana ni unstopable, rejea Adam mwenyewe pale Bustanini jani alilikuta na alikuwa akiburudika nalo maana ni kitu Natural, hakijapitia maabara kile. Click to expand... Mi kuna mtu namjua kapata kichaaa cha kudumu...kisa bangi.